PICHA ZINGINE ZA MAPOKEZI YA FEDHA NCHINI BOTSWANA
Feza Kessy ameshakuwa staa wa Afrika. Namna ambavyo amekubalika nchini Botswana aliko mpenzi wake O’neal si kitu cha kawaida. Feza amepata mapokezi ya kipekee nchini humo kiasi kilichowalazimu yeye na mpenzi wake wazunguke mitaa ya mji mkuu, Gaborone iliyokuwa imefurika mashabiki wake kumtazama na wao wakiwa kwenye gari la wazi wakiwasalimia kwa furaha kubwa.
Feza na Oneal wakipata chakula Feza Kessy akishangaa jinsi anavyokubalika Botswana
No comments:
Post a Comment