Showing posts with label Wasanii wengine. Show all posts
Showing posts with label Wasanii wengine. Show all posts

Saturday, 21 September 2013

PICHA ZA TUKIO ZIMA LA REDD'S MISS TANZANIA LILIVYOFANYIKA USIKU WA KUAMKIA LEO...!!


Redd's Miss Tanzania 2013,Happiness Watimanywa akipungia mkono mara baada ya kutangazwa mshindi wa Taji hilo kwa mwaka huu.Kushoto ni mshindi wa pili,Latifa Mohamed na kulia  ni mshindi wa tatu,Clara Bayo.

 Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2013 wakiwa jukwaani usiku huu wakati wa Onyesho la Taifa la Urembo linalofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.



 Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2013 wakifungua shindano la mwaka huu kwa kuonyesha ufundi wao wa kucheza muziki. Shindano la mwaka huu ambalo limedhaminiwa na kampuni ya vinywaji Tanzania  ya Tanzania Breweries Limited kupitia kinywaji cha Redds limefanyikia katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar-es-salaam. Jumla ya warembo 30 kutoka mikoa mbalimbali,vyuo nk wameshiriki.


 Warembo walioingia hatua ya kumi na tano bora. 

 Jaji Mkuu wa Shindano la Redd's Miss Tanzania,Dkt. Ramesh Shah akitangaza Warembo walioingia hatua ya tano bora.

Warembo walioingia hatua ya tano bora,toka shoto ni Happiness Watimanya,Elizabert Peter,Clara Bayo,Lucy Tomeka pamoja na Latifa Mohamed.

MSANII WA BONGO FLEVA SAM WA UKWELI AELEZEA JINSI ALIVYOMUUA MDOGO WAKE BILA KUKUSUDIA....


Msanii makali wa bongo fleva Sam wa ukweli leo katika kipindi cha leo tena amewatia watu simanzi kutoka na historia ya maisha yake ambayo imejaa majonzi na simanzi.

Akizungumza na Dina katika kipindi cha leo tena katika redio ya clouds sam amesema kuwa katika maisha yake hatasau maisha magumu sana aliyopitia wakati akiwa mtoto hadi kuwa sam wa ukweli,Amesema kuwa baba yake mzazi aliwahi kupotea na na kufanya watu kuamini kuwa alifariki jambo lililofanya waishi maisha magumu sana huku wakitegemea maisha ya kilimo na baada ya muda ikabidi mama yake sam aolewe na mwanaume mwingine.
Sam wa ukweli katika pozi
Sam ameeleza kuwa hakuna kitu kinachomuuma sana kama siku alipomdondosha mdogo wake chini na kumsababishia kifo kutokana na kuanguka kwake,msanii huyo amesema kuwa kisa hicho kilitokea wakati mama yake akiwa shambani na kumuacha sam na mdogo wake na ilipofika mchana sam aliyekuwa kambeba mdogo wake huku akitokea ndani ndani akiwa kabeba uji wa huyo mtoto,ila kwa bahati mbaya sam alijikwaa na kudondoka chini na kumfanya yule mtoto alie sana hadi baba huyo wa kufikia wa sam alipokuja na kuanza kumfokea sam hadi mama yake alipokuja na kumnyonyesha mtoto na kulala ula usiku mtoto alianza kulia kwa staili ya kustuka ikapidi wampeleke hosptali ya mision na alipoangaliwa alionekana hana kitu ikabidi waondoke nae hadi kwa wataalamu wa jadi ila muda mfupi yule mtoto akafariki.

Sam anasema kuwa baada ya hapo baba huyo wa kufikia alisema sam kamuua mwanae maksudi na kuleta mtafaruku mzito katika familia yao jambo lililosababisha ndoa hiyo kuvunjika  na wakarudi kwa bibi yake mzaa mama  na ndipo walipokuja kushangaa baada ya  baba yao mzazi ambae waliambiwa kafa kurudi nyumbani akiwa mzima kabisa na ndio safari ya kuja dar kwa mara ya kwanza.

MASOGANGE AANIKA YA JELA


             JUZI jijini Dar es Salaam zilisambaa taarifa kuwa Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ amefutiwa mashitaka yaliyokuwa yakimkabili ya kukamatwa na madawa ya kulevya aina ya crystal methamphetamine yenye thamani ya shilingi bilioni 6.8, Julai 5, mwaka huu kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Oliver Tambo jijini Johannesburg, Afrika Kusini.
Kufuatia taarifa hizo, Risasi Jumamosi lilianza kuwatafuta watu wenye uhakika wa madai hayo ili kuujua ukweli. Miongoni mwa watu waliokuwa kwenye orodha ya kutafutwa ni pamoja na Balozi wa Tanzania Afrika Kusini, Radhia Msuya, mchumba wa Masogange aliyepo Bongo, Evans Komu na Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania, Afande Godfrey Nzowa.

ALIVYOSEMA AFANDE NZOWA
Wa kwanza kupatikana alikuwa Kamanda Nzowa ambaye  alisema:
“Ninachojua mimi, Agnes na mwenzake (Melisa Edward) bado wanashikiliwa. Kesi yao ilikuwa Jumatano (Septemba 18, 2013), itatajwa tena Novemba mwaka huu.”
Nzowa akapiga hatua zaidi kwa kusema kwamba aliwahi kwenda Afrika Kusini kwa lengo la kuwahoji akina Masogange kabla ya kupandishwa kizimbani Jumatano iliyopita lakini hawakumpa ushirikiano.

BALOZI WA TANZANIA, AFRIKA KUSINI
Baada ya Kamanda Nzowa, Risasi Jumamosi lilimtafuta Balozi wa Tanzania Sauzi, Msuya akasema:
“Mimi sina uhakika, ilimradi umeniambia nitafanya hivyo maana nimekuwa nikifuatilia sana maisha yao wakiwa jela. Lakini pia napenda muwaambie vijana wa Tanzania, wanapokuja huku wawe kamili, waje kwa uhalali, wawe na fedha za kujikimu wakiwa huku mpaka watakaporudi.”

MCHUMBA WA MASOGANGE SASA
Baada ya kuzungumza na balozi huyo, Risasi Jumamosi lilimtafuta Evans na kumuuliza kuhusu madai hayo ambapo alikiri Masogange kuwa huru, akasema:
“Ni kweli mchumba ‘angu Agnes yuko huru. Wasiomjua ndiyo walikuwa wanasema, wameniambia mambo mengi sana kuhusu yeye lakini nilivumilia. Namshukuru Mungu Agnes amerudi tena mikononi mwangu.”
Evans alikwenda mbele zaidi kwa kumuunganisha mwandishi wetu na Agnes kule Sauzi ambapo walizungumza kwa dakika ishirini na mbili.
Risasi: Mambo Eg?
Masogange: Poa, mzima wewe?
Risasi: Mi mzima bwana, pole, nasikia uko huru?
Masogange: Ee, namshukuru sana Mungu.
Risasi: Hivi hebu niambie kwa ufupi, hali ya magereza ya huko ikoje?
Masogange:  Ni balaa, nimekuwa nikiishi maisha magumu sana. Unajua kuishi na watu ambao si taifa lako ni tatizo kubwa, hakuna amani, inachosha akili na kila kitu.
“Ilifika mahali nilitamani ningepata matatizo haya nikiwa nyumbani lakini si ugenini.”

AFUNGA NA KUOMBA
Agnes alienda mbele zaidi kwa kusema amekuwa akifunga na kuomba kila siku kwa muda wote akimlilia Mungu amsaidie kutoka kwenye janga lake.
“Nilifunga sana, pia nilikuwa naomba maombi mazito kabisa. Nimekonda kwa sababu ya kufunga huko.”

USAGAJI
Kuhusu vitendo vya usagaji, staa huyo alisema kuwa askari wa Sauzi wako makini sana na hilo na wanatoa somo kila mara linalokataza tabia ya usagaji na kwamba mtu akibainika anaweza kufunguliwa shitaka jipya.

ALIWAHI KUTILIWA SHAKA
Alisema alishawahi kuitwa na Melisa na kuulizwa kuhusu uhusiano wao, akajieleza kuwa ni mama mkubwa kwa mdogo, ikawa nafuu yao lakini walihisiwa vibaya kutokana na ukaribu wao.

ADAI ALIWAHI KUTONGOZWA NA ASKARI
Risasi: Tuliwahi kusikia kwamba kuna askari wanakutongoza kutokana na wowowo lako. Je, madai haya ni ya kweli?
Agnes: (kicheko), watu wanachonga sana. Unajua mimi nina mchumba wangu jamani.
Risasi: Lakini kuna ukweli wa madai hayo?
Agnes: (akakata simu).
Swali hapa linaweza kuwa hivi, kama hajaachiwa huru kwa nini aliongea na simu akiwa gerezani? Jibu lipo. Masogange amekuwa akipatikana hewani mara kadhaa licha ya kuwa gerezani.

WATU WAMSOMA KWENYE INSTAGRAM
Kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram ambao hakuwa hewani tangu Julai mwaka huu, usiku wa Septemba 17, 2013 aliandika hivi:
“Thanks God nimeamini wewe ulikuwa pamoja na mimi katika maombi yangu na thanks kwa wote mliokuwa mkiniombea, Mungu kapokea maombi yenu.”
Halafu akaendelea: All praise and glory to the Lord almighty I thank you for my freedom, amen (Sifa zote ni kwa Bwana, nakushukuru kwa uhuru wangu, amen).

LINAVYOSEMA RISASI JUMAMOSI
Risasi Jumamosi linaweka wazi kwamba, Agnes awe ameachiwa au hajaachiwa, lakini watu wote waliotafutwa ili wazungumze walipatikana na walisema kama ambavyo imeandikwa.

VIPI KUHUSU REHEMA FABIAN?
Wakati tunakwenda mitamboni kuna habari zilisambaa kwamba, Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian anadaiwa kukamatwa nchini China.
Madai yamesema mengi, lakini hakuna mwenye kusema wazi kisa nini ingawa wengine walidokeza habari za unga.


MASOGANGE...
Stori: Waandishi Wetu

JUZI jijini Dar es Salaam zilisambaa taarifa kuwa Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ amefutiwa mashitaka yaliyokuwa yakimkabili ya kukamatwa na madawa ya kulevya aina ya crystal methamphetamine yenye thamani ya shilingi bilioni 6.8, Julai 5, mwaka huu kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Oliver Tambo jijini Johannesburg, Afrika Kusini.
Kufuatia taarifa hizo, Risasi Jumamosi lilianza kuwatafuta watu wenye uhakika wa madai hayo ili kuujua ukweli. Miongoni mwa watu waliokuwa kwenye orodha ya kutafutwa ni pamoja na Balozi wa Tanzania Afrika Kusini, Radhia Msuya, mchumba wa Masogange aliyepo Bongo, Evans Komu na Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania, Afande Godfrey Nzowa.

ALIVYOSEMA AFANDE
NZOWA
Wa kwanza kupatikana alikuwa Kamanda Nzowa ambaye  alisema:
“Ninachojua mimi, Agnes na mwenzake (Melisa Edward) bado wanashikiliwa. Kesi yao ilikuwa Jumatano (Septemba 18, 2013), itatajwa tena Novemba mwaka huu.”
Nzowa akapiga hatua zaidi kwa kusema kwamba aliwahi kwenda Afrika Kusini kwa lengo la kuwahoji akina Masogange kabla ya kupandishwa kizimbani Jumatano iliyopita lakini hawakumpa ushirikiano.

BALOZI WA TANZANIA,
AFRIKA KUSINI
Baada ya Kamanda Nzowa, Risasi Jumamosi lilimtafuta Balozi wa Tanzania Sauzi, Msuya akasema:
“Mimi sina uhakika, ilimradi umeniambia nitafanya hivyo maana nimekuwa nikifuatilia sana maisha yao wakiwa jela. Lakini pia napenda muwaambie vijana wa Tanzania, wanapokuja huku wawe kamili, waje kwa uhalali, wawe na fedha za kujikimu wakiwa huku mpaka watakaporudi.”

MCHUMBA WA
MASOGANGE SASA
Baada ya kuzungumza na balozi huyo, Risasi Jumamosi lilimtafuta Evans na kumuuliza kuhusu madai hayo ambapo alikiri Masogange kuwa huru, akasema:
“Ni kweli mchumba ‘angu Agnes yuko huru. Wasiomjua ndiyo walikuwa wanasema, wameniambia mambo mengi sana kuhusu yeye lakini nilivumilia. Namshukuru Mungu Agnes amerudi tena mikononi mwangu.”
Evans alikwenda mbele zaidi kwa kumuunganisha mwandishi wetu na Agnes kule Sauzi ambapo walizungumza kwa dakika ishirini na mbili.
Risasi: Mambo Eg?
Masogange: Poa, mzima wewe?
Risasi: Mi mzima bwana, pole, nasikia uko huru?
Masogange: Ee, namshukuru sana Mungu.
Risasi: Hivi hebu niambie kwa ufupi, hali ya magereza ya huko ikoje?
Masogange:  Ni balaa, nimekuwa nikiishi maisha magumu sana. Unajua kuishi na watu ambao si taifa lako ni tatizo kubwa, hakuna amani, inachosha akili na kila kitu.
“Ilifika mahali nilitamani ningepata matatizo haya nikiwa nyumbani lakini si ugenini.”

AFUNGA NA KUOMBA
Agnes alienda mbele zaidi kwa kusema amekuwa akifunga na kuomba kila siku kwa muda wote akimlilia Mungu amsaidie kutoka kwenye janga lake.
“Nilifunga sana, pia nilikuwa naomba maombi mazito kabisa. Nimekonda kwa sababu ya kufunga huko.”

USAGAJI
Kuhusu vitendo vya usagaji, staa huyo alisema kuwa askari wa Sauzi wako makini sana na hilo na wanatoa somo kila mara linalokataza tabia ya usagaji na kwamba mtu akibainika anaweza kufunguliwa shitaka jipya.

ALIWAHI KUTILIWA SHAKA
Alisema alishawahi kuitwa na Melisa na kuulizwa kuhusu uhusiano wao, akajieleza kuwa ni mama mkubwa kwa mdogo, ikawa nafuu yao lakini walihisiwa vibaya kutokana na ukaribu wao.

ADAI ALIWAHI
KUTONGOZWA NA ASKARI
Risasi: Tuliwahi kusikia kwamba kuna askari wanakutongoza kutokana na wowowo lako. Je, madai haya ni ya kweli?
Agnes: (kicheko), watu wanachonga sana. Unajua mimi nina mchumba wangu jamani.
Risasi: Lakini kuna ukweli wa madai hayo?
Agnes: (akakata simu).
Swali hapa linaweza kuwa hivi, kama hajaachiwa huru kwa nini aliongea na simu akiwa gerezani? Jibu lipo. Masogange amekuwa akipatikana hewani mara kadhaa licha ya kuwa gerezani.

WATU WAMSOMA KWENYE INSTAGRAM
Kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram ambao hakuwa hewani tangu Julai mwaka huu, usiku wa Septemba 17, 2013 aliandika hivi:
“Thanks God nimeamini wewe ulikuwa pamoja na mimi katika maombi yangu na thanks kwa wote mliokuwa mkiniombea, Mungu kapokea maombi yenu.”
Halafu akaendelea: All praise and glory to the Lord almighty I thank you for my freedom, amen (Sifa zote ni kwa Bwana, nakushukuru kwa uhuru wangu, amen).

LINAVYOSEMA RISASI
JUMAMOSI
Risasi Jumamosi linaweka wazi kwamba, Agnes awe ameachiwa au hajaachiwa, lakini watu wote waliotafutwa ili wazungumze walipatikana na walisema kama ambavyo imeandikwa.

VIPI KUHUSU REHEMA
FABIAN?
Wakati tunakwenda mitamboni kuna habari zilisambaa kwamba, Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian anadaiwa kukamatwa nchini China.
Madai yamesema mengi, lakini hakuna mwenye kusema wazi kisa nini ingawa wengine walidokeza habari za unga.
-GPL

FLORA LYIMO AWASHUKIA BLOGGERS NA WALE WOTE WANAO SEMA KAPOST PICHA ZA UCHI, SOMA HAPA ALICHOKISEMA


               "Ndugu zangu Watanzania na Nyota zangu' Poleni sana kwa yale mnayoyasoma kwenye Baadhi ya Mamburulaz'' Blogs na Facebook bila kusahau Vipage Group vyao'' Sasa napenda kuwaambieni kwamba Poleni sana kwa Mnavyoandikiweni ''Yani Picha za Uchi '' Mimi kama Mimi Sioni Uchi wa Hizo Picha'' Nakama Ninavyo elewa ''HAMJAWAHI KUONA PICHA ZANGU ZA UCHI AU NISEME HAMJUI NINI MAANA YA UCHI'' FULL STOP'' 
Pili'' HII NI AHADI NA MNAJUA AHADI NI DENI'' NAWAAHIDINI KILA PALE NITAKAPO PATA  NAFASI '' NITAWAPIGIENI PICHA KAMA HIZI NA ZAIDI 'NA SIYO ZA UCHI NINAOUFAHAMU MIMI AU UNAOFAHAMIKA NA WASOMI NA WAELEWA PIA'' SASA WALE WASIO WAELEWA NA WASOMI ''WATAPATA CHA KUWASUKUTUA MIDOMO YAO NA MENO YAO YALOOZA 'KWA HIZO PICHA NITAKAZO POST KILA NITAKAPO JINAFASI TENA NAJIFYETUA MWENYEWE'' CHEZEA MPIGA PICHA WA UKWELI TENA SASA NINA CAMERA 4''NNE'' YANI FULL KUWASNAPIENI''
NI HAYO KUTOKA KWA MSEMA KWELI WENU NA 
YOUR TOP IN TOWN ''FLORA LYIMO FASHION POLICE'' 
HAVE NICE WEEKEND MY DEARS'' AND THANKS KWA WINGI WENU WA KUMIMINIKA KWENYE HII BLOG LEO''YANI NIMESTUKAJE KUONA WINGI WENU ? KUMBE MWASEMA HAMNIPENDI NA HUKU MWANIPENDA HIVI'' RUWA MANGI 'AIKENYI NDAO 'MORE PHOTOS LIKE HIZI EVERY DAY NIKIWEZA''
DONT FORGET TO FOLLOW THIS BLOG''
Hii nimewapa Vidonge vyao Mburulas huko Facebook''
Flora Lyimo YATA WASHINDA.......KUMBE NYIE WOTE WAJINGA MAMBURALAZ HIVI.....? HIVI MNAJUA NINI MAANA YA UCHI ?? SASA KWA TAARIFA YENU ..NITAJIPIGA PICHA KILA SIKU ZA HIVI '' NA NITA POST KWA YOUR TOP IN TOWN ...FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG....ILI MPATE KUSUKUTUA MIDOMO YENU MICHAFU NA MENO KAMA YA MMNYWA UGOROO..HAHHAHAHAAAA...NYIE MLIE TUU''MCHEKE KWANI MNA MWANYA" Says Flora Lyimo
                <<INGIA HAPA KUSOMA ALICHOKIANDIKA KWENYE BLOG YAKE>> 
                                       <<PICHA ZENYEWE ALIZOPIGA HIZI HAPA>>


"KUTOVAA NGUO ZA NDANI HUSUSANI KWA WANAWAKE NI KUJIDHALILISHA"....SHILOLE


IMEBAINIKA kuwa baadhi ya wasanii wa kike nchini hawavai nguo za ndani kwa madai kwamba joto linawaumiza na kuwasababishia michubuko katika baadhi ya sehemu za mwili wao

Hali hiyo ya kutovaa nguo za ndani inasababishwa na wasanii hao kutaka kupata hewa na kuepuka kubanwa kwa madai kuwa wanahitaji kuwa huru zaidi na mavazi wanayovaa huku baadhi ya sehemu zao za mwili kuonekana vizuri

Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam na  msanii wa filamu pamoja na muziki wa miondoko ya miduala Zuwena Mohamed 'Shilole' alipokuwa akizungumza na jarida hili ....Shilole alisema kuwa kutovaa nguo za ndani hususani kwa mtoto wa kike ni kujiaibisha na kujishushia heshima katika jamii

Alisema kuwa wapo wasanii ambao hawavai nguo za ndani kwa madai kuwa wanaogopa kuchubuka jambo ambalo yeye aliliona si sahihi hivyo na kudai kuwa tabia ya kujirahisisha katika maswala ya ngono ndiyo inayopelekea kuvaa bila nguo yoyote ndani

"Unajua kiukweli ni kujishusha thamani hauwezi kukaa bila ya kuvaa nguo ya ndani tena mtoto wa kike ni kujidharilisha hata kama ni kuiga tusifikie huko jamani" alisema Shilole

Pamoja na hayo aliongezea kuwa sababu nyingine inayosababisha wasanii hao kubaki utupu ni kuonyesha viungo vya mwili wao jinsi walivyoumbika jambo ambalo yeye aliliita ni njia moja wapo ya kujidharilisha na kuutangaza uhuni kwa jamiii

"Kama hauna makalio makubwa huna tuu hata usivae nini hayaonekani hivyo ni bora ujistili kama mtoto wa kike" alisema Shilole

Alipoulizwa kuwa na yeye ni miongoni mwa wasanii wanaokaa utupu Shilole alisema kuwa amelelewa katika mazingira ya kuvaa nguo mbili kabla haujavaa ile inayoonekana na jamii hivyo hawezi kutoka nyumbani bila ya kuvaa nguo ya ndani

Kwa upande wake mwanamitindo Joketi Mwegelo alisema kuwa wasanii hao wanaovaa nguo bila ya kuvaa za ndani wanatakiwa kujistiri na kwenda na mazingira ili waendelee kulinda heshima yao kwa jamii

Alisema kuwa kama mtoto wa kike ni vyema ukafuata maadili na mazingira ya nchi hivyo basi kukaa utupu ni moja ya kujidharilisha na kushusha soko lako katika sehemu yako ya kazi na kuchangia kupunguza mashabiki ambao kwa namna moja au nyingine unaweza kuwapoteza kutokana na tabia

BONGO ALLSTARS WATOA WIMBO WA TOKOMEZA ZERO,USIKILZE HAPO CHINI MUHIMU KWA WANAFUNZI WOTE

                Wanamuziki 11 mahiri wa BongoFleva wameshirikiana kuimba wimbo kuhamasisha wadau kushirikiana ili 'KUTOKOMEZA ZERO' ambazo sasa zimezoeleka kwenye sekta ya elimu katika ngazi zote, kuanzia shule za msingi mpaka vyuoni.

Wanasema kwamba mwanafunzi akitoka na Zero shuleni hawezi kutimiza ndoto zake. Kwani uongo? Kala Jeremiah, mshindi wa tuzo tatu za mziki wa KILI anamalizia wimbo kwa kuwaasa vijana kwa kusema: PANDA MBEGU BORA, KITABU NDIYO MAISHA YAKO.

Wasanii walioimba wimbo huo ni: Linex, Roma, Linah, MwanaFA, Mwasiti, Stamina, Diamond, Maundo Zoro, Peter Msechu, Keisha na Kala Jeremiah.

SIKILIZA HAPO CHINI:


Friday, 20 September 2013

RAYUU AAMUA KUZUNGUMZA ISHU YA YEYE KUPUNGUA KWA SABABU YA KUWA TEJA WA UNGA

Rayuu Alice Bagenzi 5 hours ago via mobile

 We are shaped by our thoughts we became what we think.when the mind and heart is pure joy follows like a shadow that never leaves. Blessed are those who are sicking to destroy my reputation 'eti am using drugs' I know people care not how much I knw abt myself untill they knw hw much I ca re.busara ndio inaniongoza k atika maisha haya cz an important key to self c onfidence is kujiandaa, for I can nvr get hurt untill I permit myself to get hurt, courage is the greatest quality of the mind next to honor.. Mungu awajaze uzima na muendelee kunichafua, hamjui kusoma hata kwa macho hamuon? Hatasifananii, may god be with you till we meet again hakuna lisilo na mwisho.
 
RAYUU  ALICE BAGENZI

Msikilize Rayuu hapa chini akizungumzia ishu ya yeye kuwa TEJA:

MASOGANGE APIGWA FAINI YA SH MILIONI 5 NA KUACHIWA HURU

             WATANZANIA wawili Agness Gerard ‘Masogange’ na Melissa Edward wameachiwa huru na Mahakama ya Kempton ya jijini Johannesburg baada ya kutakiwa kulipa faini ya Sh 4.8 milioni (Randi 30,000) kwa kosa la kubeba kemikali zinazotumiwa kutengeneza dawa za kulevya.
Msemaji wa Kitengo cha Uchunguzi wa Makosa ya Jinai cha Afrika Kusini (hawk) Kapteni Paul Ramaloko alisema Watanzania hao wameachiwa huru baada ya kuonekana kuwa hawakubeba dawa za kulevya bali kemikali aina ya ephedrine.
Hata hivyo mahakama ilibaini kuwa Melissa hana hatia kwa kuwa ilionekana amemsindikiza Masogange, aliyemuomba amsaidie kubeba mzigo huo.
Mosagange alilipa faini ya Shilingi 2.5 milioni (R15, 000), huku akiahidi kumaliza nusu yake ambayo juhudi zilikuwa zinafanyika amalize kulipa jana Ijumaa.
“Mahakama iliona kuwa Melissa aliombwa tu kusaidia kubeba baadhi ya mabegi, lakini haikuwa mizigo yake. Mizigo yote iliandikwa jina la Agness Masogange na si Melissa,” alisema Kapteni Ramaloko.
Kapteni Ramaloko alisema, Melissa alijitetea kuwa hakuwa amesafiri na Masogange bali walikutana ndani ya ndege na Masogange alimuomba amsaidie mizigo hiyo kwani ilikuwa mikubwa.
Kwa sheria za Afrika Kusini kubeba kemikali zozote ambazo zimepigwa marufuku ni kosa la jinai kisheria hivyo mahakama iliamuru Masogange ahukumiwe kwenda jela miezi 30 (miaka miwili na miezi sita) au alipe faini ya R30, 000(Sh 4.8 milioni).
Hata hivyo alilipa faini na nusu ya fedha hizo ilishalipwa na nyingine ilikuwa inakaribia kulipwa.
Ingawa Kamishana Mkuu wa Kitengo cha Kudhibiti Dawa za Kulevya Tanzania, Godfrey Nzowa alipoulizwa juzi Alhamisi alisema mzigo walioubeba Masogange na mwenzake haukuwa ni dawa za kulevya bali ni kemikali za dawa za kulevya, lakini Msemaji wa Mamlaka ya Mapato ya Afrika Kusini, (SARS) Marika Muller, alieleza kuwa timu ya SARS ina uhakika kuwa mabegi sita yaliyokamatwa Julai 5, mwaka huu ni methamphetamine.

SERENGETI FIESTA 2013 NDANI YA MUSOMA USIKU WA LEO IMEBAMBA MBAYA




 Msanii mwingine anaefanya vyema hivi sasa katika anga ya muziki wa Bongofleva,Rich Mavoko akiwaimbisha mashabiki wake usiku huu,mbele ya wakazi wa mji wa musoma waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013,ndani ya uwanja wa Karume mkoani Mara.

 Madansa wa msanii wa muziki wa kizazi kipya,Shilole wakitumbuiza jukwaani usiku huu ndani ya Uwanja wa Karume,ndani ya mji wa Musoma mkoani Mara

 Anajiita tajiri wa Mahaba Cassim Mganga kutoka Manzabay akiwaimbisha jukwaani wakazi wa mji wa Musoma

 Mashabiki wakijinafasi kwa raha zao.

 Kundi la Wanaume TMK likiongozwa na Chege na Temba wakilishambulia jukwaa la serengeti fiesta usiku huu ndani ya uwanja wa Karume mjini Musoma mkoani Mara.

 Mkali mwingine wa muziki wa Reggae kutoka kanda ya Ziwa,Jita Man akiwakumusha mashabiki wa muziki wake enzi hizo,mbele ya wakazi wa mji wa Musoma usiku huu

Anaitwa Godzilla kutoka maskani ya Sala sala,akishusha mistari yake live mbele ya mashabiki wake waliojitokeza kwenye tamasha la serengeti fiesta

Makamuzi yakiendelea jukwaani

 Sehemu ya umati wa watu.

 Msanii wa muziki wa bongofleva ambaye kwa sasa anafanya vyema kwenye anga hizo,Neylee akiimba jukwaani wakati wa tamasha la serengeti fiesta 2013  ndani ya uwanja wa Karume,Musoma mkoani Mara.

 Kundi la Wanaume TMK Halisi likiongoza na msanii nguli Juna Nature wakilishambulia vyema jukwaa  kwa staili yao mapanga shaa shaa,huku mayowe yakipigwa kutoka mashabiki.

Kila shabiki alikuwa na mzuka wake.

 Mashabiki wa tamasha la serengeti fiesta wakifuatilia yanayojiri ndani ya uwanja wa Karume

 Sehemu ya umati wa watu ndani ya uwanja wa Karume

 Mwanadada Shilole akionesha umahiri wake wa kunengua jukwaani mbele ya maelfu ya watazamaji waliojitokeza  kwenye tamasha la Serengeti fiesta 2013.

 Anaitwa Linah Sanga,kutoka nyumba ya vipaji THT akiimba jukwaani


 Watu kibao,kila mmoja akijaichai kivyake huku jukwaa likiwaka moto vilivyo kwa miondoko ya bandika bandua ya wasanii wanaotumbuiza. 

 Wakali wengine wanaokuja kwa kasi katika anga bongofleva-hip hop,Stamina na Youngkiller wakilishambulia jukwaa kwa kushusha mistari mikavu live.

 Shangwe kila kona za mashabiki zimetawala uwanjani hapa.

Thursday, 19 September 2013

FLORA LYIMO A.K.A MBUTA NANGA APIGA PICHA ZA NUSU UCHI!!!! NI YULE ALIYEDAI KUBAKWA NA MBUNGE GODBLESS LEMA

 
"Eeh jamani kweli UKISTAAJABU YA MUSSA UTAYAONA YA FIRAUNI, huyu ni Flora Bahati Lyimo yule mwanamama aliyedai kubakwa na muheshimiwa Godbless Lema.. kama mama zetu kama hawa wanapiga picha za hivi nakupost kwenye mitandao TENA BLOG YAKE MWENYEWE sijui wanatufundisha nini sisi watoto wao, nimesikitika sana baada yakuona picha hizi huku mwenyewe akionekana hana habari kama kavaa nguo za heshima yupo msikitini anaswali..
Sasa hapa akiendeleza ile stori yake ya kubakwa si watu watamuona chizi na anamsingizia Muheshimiw!!!
Source za Picha ...Ingia Blog yake Hapa kuona Picha zaidi: FLORA LYIMO BLOG

DOKII ASEMA "KUKATA MAUNO JUKWAANI NI IMANI YAKE JAMII IACHE KUMSIMANGA"

               MSANII wa filamu nchini na muziki wa Injili, Ummy Wenceslaus ‘Dokii’, amesema kwamba kukata kwake viuno jukwaani akiimba ni imani yake na jamii iache kumsimanga kwa maneno. Dokii aliyasema hayo alipokuwa akihojiwa na kituo cha runinga cha TBC katika Funguka, kuhusu kukata kwake viono katika nyimbo za dini.“Hakuna anayeweza kumhukumu mtu, ila ni Mungu pekee na suala la kupendezwa au kutopendezwa na kitendo changu pindi niwapo jukwaani ni imani yangu inaniruhusu kufanya hivyo.
   
“Mimi ni Mlokole na nampenda Mungu kuliko watu wanavyofikiria, nimeshasikia maneno yakidai nimeachana na wokovu, lakini hawajui suala la wokovu ni la mtu binafsi na Mungu wake,” alisema Dokii.


Alisema jamii isipende kuingiza tamaduni za nchi na dini, kwani katika nchi dini zilikoanzia hayo ni mambo ya kawaida na ndiyo imani yao inavyowaambia.

HAWA NDO MASTAA WA KIKE BONGO WANAOJIHESHIMU


BAADHI ya watu kwenye jamii wamezoea kusikia au kuona wasanii kibao wakifanya mambo ya ajabu na kuwa na skendo za hapa na pale kama kupigana, mapenzi na kuzungumza mambo yasiyofaa lakini leo tunakuletea listi ya mastaa wanaojiheshimu kwa hapa Bongo...




 
SALOME NDUMBAGWE MISAYO ‘THEA’
 Ni staa wa kitambo wa filamu za Kibongo. Ni mke wa ndoa wa mwigizaji Michael Sangu ‘Mike’. Thea amekuwa ni mfano wa kuigwa na kila msanii anayetaka au anayeingia kwenye tasnia ya filamu na jamii kwa jumla. Thea siyo mtu wa skendo kama walivyo wasanii wengine wa kike Bongo.Amedumu kwenye sanaa kwa muda mrefu akianzia Kundi la Sanaa la Kaole wakati wa michezo ya runingani leo, leo amefikia hatua ya kucheza filamu zake mwenyewe japokuwa kumekuwa na malalamiko haonekani sana kama zamani.
 
SUZAN LEWIS ‘NATASHA’Ni mkongwe wa maigizo ambaye ni mama wa mtoto mmoja. Natasha ni msanii mwenye heshima tele kwenye tasnia ya filamu Bongo ambapo hivi karibuni aliingia kwenye ndoa ya uzeeni kwani alikuwa hajaolewa hivyo kuamua kutimiza agizo la Mungu alilowapa wanadamu. Natasha hajawahi kuripotiwa na skendo yoyote kama baadhi ya wasanii walivyozoeleka kuwa kila siku ni watu wa matukio ya ajabu.
 ILLUMINATHA POSHI ‘DOTNATA’ Dotnata ni staa wa maigizo, muziki na ni mjasiriamali. Ni mama asiyekuwa na skendo na hivi sasa ameokoka na amekuwa akiwashauri wasanii mbalimbali wabadilike lakini jitihada hizo zimekuwa zikigonga mwamba kutokana na wengi wao kutosikiliza ushauri wake.Wengine humsikiliza na kumwambia asubiri kwanza wamalize starehe zao.


WASTARA JUMA Ni mwigizaji ambaye ni mke wa aliyekuwa msanii wa filamu za Kibongo, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’. Wastara amekuwa ni mfano wa kuigwa na wanawake wote ulimwenguni na siyo wa filamu pekee.Wastara ni mchapakazi, hana muda wa kukaa na kufanya mambo yasiyofaa kama kuendekeza wanaume, majungu na kupigana kama ilivyo kwa wengine.
  
RIYAMA ALLYMwanadada wa filamu za Kibongo anajiheshimu na amejaliwa kuwa na mtoto mmoja wa kike. Hajawahi kuripotiwa na skendo. Mara nyingi yupo bize na kazi zake na huwezi kukutana naye kwenye kumbi za starehe usiku au katika makundi yasiyofaa.Kwenye filamu Riyama anakubalika kutokana na uigizaji wake wa kiuhalisia zaidi.


YVONE-CHERRY NGATIKWA ‘MONALISA’ Huyu ni mtoto wa Natasha ambaye kafuata nyayo za mama yake katika tasnia ya filamu Bongo. Monalisa ni mama wa watoto wawili. Hana skendo na anajiheshimu na kujielewa yeye ni nani katika jamii.

MKANDA MZIMA JOHARI NA CHUCHU HANS WALIPOZIPIGA


Vincent Kigosi ‘Ray'
KIMENUKA! Waigizaji wenye majina makubwa Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ na Chuchu Hans wanadaiwa kuchapana kisa kikidaiwa kuwa ni penzi la mwigizaji ‘kaka mkubwa’, Vincent Kigosi ‘Ray’, Amani limenyetishiwa mkanda kamili.
Blandina Chagula ‘Johari’
TUHUMA
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini ambacho ni rafiki wa karibu wa wasanii hao, tukio hilo lilijiri mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Ofisi za RJ Productions, zinazomilikiwa kwa ubia wa Ray na Johari zilizopo Sinza-Mori jijini Dar ambapo Johari alikuwa akimtuhumu Chuchu mambo mazito ya kimapenzi kwa Ray.
Shushushu huyo alitonya kuwa, siku ya tukio Johari na wasanii wenzake walikuwa wakirekodi filamu ndani ya hoteli moja (jina tunalo) iliyopo jirani na ofisi hizo ndipo alipofikishiwa umbeya kuwa Chuchu yuko kwenye ofisi hizo ‘akijiachia’ na bosi mwenzake (Ray), jambo lililotia ganzi moyoni mwa mdada huyo.

                                         Chuchu Hans.
MCHEZO MZIMA
‘Kikulacho’ huyo aliendelea kudai kuwa baada ya Johari kupata habari hizo, bila kujiuliza wala kuvuta subira, ‘alisaga soli’ hadi maeneo hayo.
“Alipofika aliingia ndani moja kwa moja na kumvamia Chuchu huku akimshushia kipigo chenye ujazo,” kilidai chanzo hicho.
Alidai kuwa katika timbwili hilo, Chuchu naye alifurukuta ndipo wakazichapa laivu kabla ya Ray aliyekuwa nje kusikia na kuwahi kuokoa jahazi.
“Unajua kilichomshtua Ray ni kilio cha Chuchu aliyekuwa akiomba msaada baada ya kuzidiwa na Johari,” kilidai.
Chanzo kilidai kuwa aliingia ndani akiwa amefura na kufoka lakini alikuwa ameshachelewa kwani tayari Johari alikuwa ameshaugeuza bucha mwili wa Chuchu.
Ilidaiwa kuwa baadaye Ray alimtoa nje Johari akimtaka kuwa mbali na Chuchu.


SINEMA YA BURE
“Ilikuwa ni bonge la soo, watu walijaa sana, baadaye Ray alimtoa Johari nje huku akimfokea.
“Unaambiwa Johari alikuwa akikimbia na Ray kumfukuza, jambo lililovutia watazamaji wa sinema hiyo ya bure,” alisema mpashaji wetu.


JOHARI, CHUCHU WASAKWA
Baada ya kuzinyaka taarifa hizo, gazeti hili liliwasaka Johari na Chuchu kwa nyakati tofauti.


JOHARI AKIRI
Kwa upande wake Johari alikiri kutokea kwa kasheshe hiyo.
“Ni kweli lakini nani amekuambia? Unajua kilichoniudhi mimi ni maneno machafu ya huyu dada (Chuchu) anavyotamba kwa watu kuwa amenipokonya mume, wakati hakuna ukweli juu ya hilo, nilishikwa na hasira sana ndiyo maana nikaamua kumpa somo kidogo.
“Inaniuma kwa sababu mimi na Ray tumetoka mbali sana hadi kuisimamisha RJ. Tulikuwa hatuna kitu kabisa tukaungaunga huku na kule hivyo Chuchu anapaswa kutambua hilo. Asitake kunikumbusha vitu vingi kwa sababu tuliteseka sana,” alisema Johari kwa uchungu.


VIPI BADO ANAKWENDA RJ?
“Tangu ile ishu itokee sijaenda RJ kwa sababu Ray alinifukuza eti kisa Chuchu. Usiniulize muafaka wa hili jambo kwa sababu hadi sasa sina majibu ya moja kwa moja kuna vitu naviweka vizuri,” alisema mwanadada huyo.


HUYU HAPA CHUCHU
Kwa upande wake Chuchu aliruka kimanga kuwa hakuna ishu kama hiyo.
“Aaah, jamani sina cha kusema juu ya hilo, nikiwa tayari nitawaambia.
“Kinachonishangaza kila Johari na Ray wakigombana huwa natajwa mimi. Yaani sijui hata haya mambo yanatokea wapi,” alisema Chuchu.


RAY
Gazeti hili lilipomtafuta Ray kutaka kujua ukweli wa ishu hiyo, bila kujibu ndiyo au hapana, alimjia juu mwandishi:
“Sikia Brighton (mwandishi), hili jina nimelitafuta kwa miaka mingi. Nakuomba usiandike habari hiyo, sielewi chochote.
“Ugomvi wao siujui na wakigombana waache kunitaja, waeleze sababu zao za kugombana siyo kunitajataja mimi,” alisema Ray na hata alipoulizwa uhusiano wake na wanawake hao aliishia kujiumauma bila kutoa majibu ya kueleweka.


HALI NI MBAYA
Habari za kina zilidai kuwa hali ni mbaya kati ya mastaa hao ambapo mashabiki wao waliozungumza na gazeti waliiomba Kamati ya Nidhamu ya Bongo Movie kuingilia kati ugomvi huo ili kutafuta ufumbuzi.

Source:GPL

WIVU WA MAPENZI WASABABISHA MUMEWE NA SHAMSA FORD ASABABISHE TIMBWILI KINONDONI

 
WIVU wa mapenzi umesababisha mume mtarajiwa wa mwigizaji Shamsa Ford, Dickson Matoke aibue timbwili kwa shabiki mmoja aliyekuwa akimpongeza mwigizaji huyo.
Kwa mujibu wa chanzo makini, tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika Mgahawa wa Twiter, Kinondoni jijini Dar wakati mwanaume mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja alipomfuata Shamsa kuonesha upendo, ndipo Dickson alipoibua timbwili.
Baada ya kuzinyaka habari hizo, paparazi wetu alimvutia waya Shamsa ambaye inasemekana yupo katika mikakati ya kuoana na Dickson, akafunguka:
“Mmepata wapi hizo stori? Kweli nyie ni noma,  haikuwa ishu kubwa sana, yaliisha jamani,” alisema Shamsa.