Friday, 13 September 2013

PICHA YA KWANZA YA PADRI ALIYEMWAGIWA TINDIKALI ZANZIBAR...INASIKITISHA SANA.

 
PADRE ANCELMO MWANG'AMBA baada ya kumwagiwa tindikali leo na watu wasiojulikana anaonekana akiwa na maumivu makali huku suruali yake ikiwa imeathiriwa na Tindikali hiyo.

No comments:

Post a Comment