WATU WATATU WA FAMILIA MOJA WAUAWA KWA KUNYONGWA NA KUCHINJWA HUKO BUHONGWA JIJINI MWANZA...
Akiongea na ITV, mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai RCO Joseph Konyo amesema kuwa baba wa familia hiyo aliyejulikana kwa jina la Jonas Lulinga anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 44 ameuawa kwa kuchinjwa na kisu huku mkewe na mtoto wao mchanga wakiuawa kwa kunyongwa na waya wa umeme... Tukio hilo linadaiwa kutekelezwa majira ya saa nane usiku na mtu mmoja ambaye walimkaribisha na kuishi nae kwa siku nne....
Binti mmoja aliyesalimika anasimulia tukio hilo kwa kina katika video iliyopachikwa hapo chini.
No comments:
Post a Comment