
Hatimaye mahakama ya hakimu mkazi Mkoa wa Morogoro imeamua kumnyima dhamana katibu wa jumuiya na taasisi ya kiislamu nchini Sheikh Ponda Issa Ponda anayekabiliwa na mashitaka matatu ambayo ni kutokutii amri halali, kuharibu imani za dini na kushawishi na kutenda kosa...
Hii ni ripoti ya ITV ikiwaonesha wafuasi wake wakiwemo akina mama ambao walikuwa wakitokwa machozi mahakamani hapo.
No comments:
Post a Comment