Wednesday, 11 September 2013

TRAFIKI ANUSURIKA KICHAPO KUTOKA KWA WAENDESHA BODABODA TANGA

Trafiki akizozana na dereva Bodaboda aliyevunja sheria katika stendi kuu ya mabasi mkoani Tanga.
...Askari akiingilia kati kumnusuru trafiki baada ya dereva Bodaboda kuanza kumzonga.
...Pikipiki ikipelekwa kituoni.
...Safari ya kuelekea kituo cha polisi wa usalama barabarani.

 

No comments:

Post a Comment