Sunday, 15 September 2013

POMBE ADUI WA MAADILI ANGALIA HAWA AKINA DADA WALICHOKIKFANYA BAADA YA KULEWA

Nakuwa na huzuni sana pale nionapo matukio ya ajabu yakiwa yanaendelea katika ulimwengu huu pengine wanadamu tumesahau kwamba duniani tunapita huu ni zaidi ya uchafu mbaya zaidi vitendo hivi vinakuwa vikizidishamiliri tubadilike haraka hawa ni kutoka nigeria je bongo yapo haya
                       TOA USHAURI WAKO KWA HAWA

No comments:

Post a Comment