Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salam limemkamata Saida Mohamed huko Kigamboni akiwa na sare mbalimbali za jeshi la wananchi .
Kamishna wa kanda hiyo Suleiman Kova amesema katika tukio lingine jeshi hilo limefanikiwa kuzima jaribio la wizi katika kampuni ya fast jet baada ya kunasa mawasiliano ya mtandao wa majambazi na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo
No comments:
Post a Comment