PICHA:M2 THE P,CHAMBER SQUAD,DULY SYKES WAFANYA DUA KWENYE KABURI LA MANGWEA
Kundi la Chamber Squad (Noorah na Maze B) aliyekuwa rafiki wa karibu na marehemu Albert Mangwair, M2 the P, Dully Sykes, Mchizi Mox na wengine leo wamemtembelea mama yake Ngwair mjini Morogoro pamoja na kwenda kwenye kaburi lake na kumuombea. M2 the P akiwasha mshumaa kwenye kaburi la rafiki yake Mangwea M2 THE P, Dully Sykes, member wa Chamber Squad na wengine wakimuombea rafiki yao kipenzi marehemu Ngwair Shughuli hiyo ya kumuombea marehemu Albert Mangwea ilienda sambamba na kuwasha mishumaa kwa imani ya kikristu ili kumwangaza huko aliko. Maze B akipiga picha kaburi la Ngwair Mchizi Mox akiwa ameshikilia mishumbaa mbele ya kaburi la Mangwair Sala ya kumuongea Ngwair ikiendelea SOURCE: BONGO5
No comments:
Post a Comment