Thursday, 12 September 2013

MKE WA MTU SUMU..!!! CHECK ADHABU WALIYOPEWA BAADA YA KUFAMANIWA WAKIVUNJA AMRI YA SITA..

                                         Ni tukio la aina yake..kama unavyoona ni mwanaume mwenye mke na watoto akiwa amefumwa akivunja  amri  ya sita  na mwanamke mwenye familia na watoto....

Wananchi  wenye  hasira kali  wawapa  kichapo  kikali  ili  liwe fundisho  kwa  wengine hapo  mtaani.....

Hapa wakipelekwa polisi.....

No comments:

Post a Comment