Showing posts with label Maajabu. Show all posts
Showing posts with label Maajabu. Show all posts

Friday, 20 September 2013

HUYU NDO BINADAMU MWEUSI KULIKO WOTE DUNIANI !

                  INASEMEKANA huyu mwanadada ndiye aliyevunja rekodi ya watu weusi duniani maana maranyingi watu walisubiri atabasamu ili waamini kwamba ni mwanadamu, Meno ndio yalimtambulisha kwamba ni mtu
BINADAMU MWEUSI ZAIDI DUNIANI !.
Yani amemfatilia dada huyu hadi kugundua kwamba kuna kampuni mpya ya kutengeneza vipodozi iliobuni krimu ya kujichubua na kumbadilisha mwanadada huyu ngozi yake kuwa nyeusi .
 
Hii ilikua ni katika majaribio ya kujaribu mafuta hayo kama yanaweza au laa ?.
Ndugu msomaji wangu huwezi amini mlimbwende huyu ni mzungu lakini sasahivi du !. Haya sasa kwa wakina dada watakaohitaji mkorogo huu bomba wa kukufanya uwe black beauty kazi kwenu

MAAJABU..VIDEO:HAYA NDO MATUNDA YENYE MAUMBO KAMA NYETI ZA BINADAMU

TAZAMA VIDEO

Thursday, 19 September 2013

Wednesday, 18 September 2013

PICHA: MAMBA AZUA BALAA BAADA YA KUINGIA CHINI YA KITANDA HOTELINI.....

Katika hali isiyo ya kawaida mamba mkubwa mwenye futi 8 amezua tafrani baada ya kuingia chini ya kitanda cha Mkurugenzi wa hoteli moja ya kitalii iitwayo Humani iliyopo pembezoni mwa mto Turgwe huko nchini Zimbabwe na kukaa zaidi ya masaa 8. 

Mr Whittall, ambaye ni mkurugenzi wa hoteli hiyo alisema kuwa mamba huyo aliingia kwa siri chumbani kwake na kukaa chini ya kitanda chake usiku na kugundulika asubuhi ya siku iliyofuata.


Alisema kuwa mamba huyo alitoka nyuma ya pori lililopo karibu na hoteli hiyo ambapo hata yeye alipoamka hakumuona na alining’iniza miguu yake huku mamba huyo akiwa chini ya kitanda ambapo alitoka kwenda kupata kifungua kinywa kwenye mgahawa wa hoteli hiyo.



Inaelezwa kuwa mamba huyo aligundulika na mfanyakazi aliyekuwa akifanya usafi katika chumba hicho na kupiga mayowe yaliyomshtua Mr Whittall ambapo alitoka mbia kwenda kushuhudia kulikoni na kumkuta mamba huyo akiwa chini ya kitanda chake kumbe alilala naye kwenye chumba hicho usiku mzima.



Mamba ni wataalam wa kujificha na ndiyo maana hunusirika kuuwawa na wanyama wengine hususani binadamu hata wakiwa nje ya maji,alisema Mr Whittall.



Na huweza kutulia sehemu moja kwa muda mrefu bila kugundulika na myama yoyote hivyo kumtambua inakuwa ni vigumu hiyo ni kutokana na maumbile yao yalivyo na hukimbilia ndani ya vichaka au kuingia kwenye nyumba kama hotelini hapo kufuata joto hasa katika kipindi cha mvua na baridi kali na alipenda kukaa chini ya kitanda hicho kwasababu kulikuwa na joto.



Mkurugenzi huyo alilazimika kuwaita wafanyakazi wengine ambao walisaidiana kumuondoa mamba huyo kutoka kwenye chini ya kitanda na kumtupa kwenye bwawa la hoteli hiyo.





VIDEO:JE...!! UNAMJUA MTU ALIYEVUNJA RECORD YA DUNIA KWA KUVUNJA NAZI KWA KIDOLE

       Huyu ndiye Mzee aliyewekwa katika kumbukumbu za GUINNESS WORLD RECORDS kwa kitendo cha kuvunja nazi kwa kidole kimoja haya ni maajabu na ni kweli.



 
Tazama video yenyewe hapo chini....  


Tuesday, 17 September 2013

Monday, 16 September 2013

HUYU NDIYE MWANAMKE ALIYEWEKA RECORD YA DUNIA ya KUWA NA MIGUU MIREFU KULIKO WOTE DUNIANI....

             Ama kweli ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni" Katika hali isiyokuwa ya kwaida huyu ndiye mwanamke aliyefanikiwa kuingiza katika kitabu cha kumbukumbu ya Dunia WORLD RECORD GUINESS BOOK. La kushanzaza zaidi walimkutanisha na mtu mfupi zaidi Duniani.






Tazama video hapo chini...

KALI YA MWAKA...!!! MWANAUME NA MWANAMKE WALIOBADILI JINSIA WAAMUA KUWA WAPENZI NA KUTAKA KUONA...

Picture


                            Arin Andrews (kulia) na mwandani wake Katie Hill
 
Nchini Marekani, yenye watu waliojibadili jinsia, 'transgender' wapatao laki tisa, vijana wawili kati yao wamependana kimapenzi na huenda wakaoana.

Kijana Arin Andrews alizaliwa katika jinsia ya kiume, wakati binti Katie Hill alizaliwa katika jinsia ya kike.

Hivi karibuni, Arin alifanyiwa upasuaji wa kuondoa matiti yake (mastectomy) na kuanza kutumia vichocheo
vya hormone za kiume (testosterone) ili kujenga umbo la kiume kama anavyoonekana kulia kwenye picha. Alipoulizwa ikiwa hakujali kuwa na makovu kifuani mwake kwa ajili ya kuondoa matiti, alisema alikuwa radhi aishi na makovu kuliko kubeba matiti.

Akizungumza na wanahabari wa INSIDE EDITION, Arin ambaye awali alitambulika kwa jina la Emerald, anasema asingeweza kufikia hapo ikiwa asingepata upendo na ushirikiano kutoka kwa mpenziwe, Katie ambaye anayeelewa fika yanayoendelea kwenye kichwa chake.

Katie ambaye awali alitambulika kwa jina la Lucas, sasa hunyoa miguu yake ili isiwe na vinyweleo vingi kama mwanaume, jambo ambalo anasema lilimkosesha raha kila mara alipojitizama kwenye kioo kwa kujiona mbaya na asiyevutia. Anasema siku moja alipochoshwa sana na mawazo, alisema leo ni leo, liwalo na liwe; Akamketisha kitako mama yake na kumwambia "Usiku wa leo nitajiua endapo hutanisaidia," na hapo ndiyo ukawa mwanzo wa kuanza taratibu za kufanyiwa upasuaji wa kujibadili jinsia.

Mwaka jana, wazazi wa watoto hao wawili waliwakutanisha, na hapo ndipo mapenzi baina yao yalipowaka
.


Friday, 13 September 2013

TAMBUA UHUSIANO WA KORODANI ZA MWANAUME NA MAJUKUMU KAMA MZAZI

             Wanasayansi wanasema kuwa kuna uhusiano kati ya ukubwa au udogo wa Korodani (Testicles) za baba na uwezo wa baba kutekeleza majukumu yake kama mzazi wa watoto wao.
Watafiti katika chuo kikuu cha Emory nchini Marekani, wanasema kuwa wanaume walio na Korodani ndogo huenda wakayachukualia majukumu yao kwa uzito na hata kujihusisha na kumbadilisha mtoto nepi, kumlisha na hata kumuogesha mtoto.

Pia uligundua kuwa utofauti katika picha ya ubongo wa baba wakitizama picha za waoto wao, ilihusishwa na ukubwa au udogo wa Korodani.
Lakini mambo mengine ya kitamaduni yanaweza kuchangia kwenye uhusiano kati ya Korodani na majukumu ya baba kwa mwanawe.
Uasherati na ukubwa wa korodani zinajulikamna kuwa na uhusiano mkubwa kwa wanyama , wale walio Korodani kubwa hujamiiana na wanyama wengi kinyume na walio na Korodonani ndogo.
Watafiti walikuwa wanachunguza nadharia kuhusu ikiwa wanaume hutumia muda zaidi katika kuwa na mahusiano ya kimapenzi au kulea watoto wao. Wazo lao likiwa kwamba wanaume walio na Korodani kubwa hutumia muda wao katika kuzaa watoto wengi kuliko katika kuwalea watoto hao.
Utafiti huo ulichunguza uhusiano kati ya ukubwa wa Korodani na mfumo wa uzazi katika wananume 70 waliokuwa na watoto walio kati ya umri wa mwaka mmoja na miwili.
Watafiti waliwapiga wanaume hao picha ya ubongo wakiwa wanatizama picha za wanao.
Utafiti wao ulionyesha kuwa wanaume wenye Korodani ndogo walionekana kuwa makini katika malezi kuliko wale wenye kubwa.
Wale waliokuwa na Korodani ndogo walionekana kuwa na wazazi wazuri wanaojihusisha na kubadilisha mtoto nepi na kumuogesha, yaani alijihusisha vyema katika majukumu ya mzazi.
Mmoja wa watafiti alisema kuwa uchunguzi wao unaonyesha kwamba kuna baadhi ya wanaume ambao ni wazazi wazuri tu na ambao wanajihusisha na majukumu ya ulezi kuliko wengine.
Watafiti hao waliona kuwa ukubwa au udogo wa Korodani unaweza kuathiri tabia za mtu, lakini haijulikani kama hatua ya kumpata mtoto hubadili mawazo na mienendo ya baba.

chanzo:bbcswahili

BINADAMU 200,000 KWENDA KUISHI MILELE KATIKA SAYARI YA MARS KUANZIA MWAKA 2016.

Greda itakavyokarabati ardhi kuwezesha watu kuishi Mars.
Greda itakavyokarabati ardhi kuwezesha watu kuishi MarsImesema kuwa mifumo ya kwenda huko itajaribiwa mara 8 kabla haijatumiwa kusafirisha watu na kwamba safari itakuwa salama kuliko ile ya kwenda mwezini.article-0-16D5B5EA000005DC-73_634x242
Muonekano wa ardhi.
TIKETI ya one way kwenda kuishi kwenye eneo tasa, lenye ardhi ya ajabu, joto linaloweza kugota 150°C, inaweza isiwe na mvuto kwa wengi, lakini mpaka sasa watu laki 2 kutoka nchi 140 duniani wametuma maombi yao kuwa sehemu ya wakoloni wa kwanza kwenda Mars.

Waombaji wamekubali kuishi kwenye sayari hiyo nyekundu kwa maisha yote yaliyosalia na watashutiwa kwenye reality TV show.

Kampuni ya Uholanzi ya Mars One inajiinda kwenda kwenye sayari hiyo October 2016 kuandaa mazingira na makazi kuwekwa huko mwaka 2018. Chanzo: Bongo5, Chanzo cha awali: Daily Mail.

Thursday, 12 September 2013

HII NDIO JUISI YA MMEA WA BANGI PAMOJA NA MAFUTA YAKE CHEKI HAPA

                   The next time somebody tells you that they don't like cannabis because they don't want to smoke it, show them five other ways to use the plant.

Left to right, fresh cannabis juice from the leaves, cannabis salve, cannabis ghee, cannabis tincture, cannabis oil (Grain Alcohol Extraction)

HUYU NDIYE SAMAKI ANAWEZA KURUDISHA NGUVU ZA KIUME NDANI YA MUDA WA DAKIKA 10 TU

             Endapo utafanikiwa kumla samaki huyu mwenye gamba gumu anayekwenda kwa jina la Oyster basi utakuwa na asilimia 99 ya kuongeza nguvu za kiume ndani ya dakika 10
.Samaki huyu atakurudishia uwezo wako wa zamani kabla mambo hayajaanza kukuharibikia, tena dawa hii ni salama kwa kuwa ni kama chakula tu.Mtaalamu wa mapishi kutoka Culinary Chamber kwa moyo mkunjufu ameamua kushare nasi habari hii njema. Huna nguvu za kutosha kufanya tendo la ndoa? Unakosa kabisa hamu ya kufanya tendo la ndoa? Perfomance imeshuka? "Basi tatizo lako ni 'low T' au low testosterone," na ni tatizo kubwa kwa wanaume wengi.Testosterone ni hormone inayozalishwa katika vifuko vya mbegu za uzazi wa mwanaume, inasaidia sana sana katika kuhamasisha uwezo na msukumo wa tendo la ndoa. Inasaidia sana pia kumaintain strong bones, muscle mass and strength,

Testosterone inaanza kujitengeneza na kuongezeka katika mwili wa mwaume wakati wa adolescence na unapopevuka, na hupoteza ubora au kushuka kiwango hasa pale unapofikia umri wa miaka 30 kwa kiwango cha asilimia 1 kila mwaka.  Kukosa ubora au kushuka kwa kiwango kunasababishwa na stressau mzongo wa mawazo ya maisha, mlo usio kamili, obesity na sababu nyingine. Inaposhuka ndio balaa inapoanza nawe kukosa hamu au kupungukiwa nguvu za tendo la ndoa mfano uume kutosimama imara na kukosa hamu pengine hata kufanya tendo chini ya kiwango kabisa na kusababisha kutomridhisha mwezi wako.Protein, magnesium na madini ya zinc  kwa wingi sana kuliko chakula chochote duniani, ambayo zinc hiyo inasaidia sana kuongeza testosterone, kukuimarisha na kukuza misuli katika mwili, ukakamavu wa hisia za kimwili na kuzalisha manii ya kutosha (sperm). Chakula kingine chenye zinc nyingi kinachoweza kukusaidia ni maini ya kuku na mbegu za maboga.
Juu, ni hatua za kumwandaa samaki huyo
Unaonahiyo nyama baada ya kumfunua samaki huyo
Mtaalamu amechombeza kuwa ukiona kinyaa wakati wa kumla, basi weka chumvi na limao kisha umle taratibu, lakini pia unaweza kumwagia balsamic vinegar au siki kuongeza ladha.Dozi: vipande viwili au vitatu vinatosha kabisa kwa dozi moja na inashauriwa kula mara moja kila baada ya wiki moja. Kama kumla akiwa mbichi inakupa tabu basi nunua wale wa kwenye makopo au wa kuchemsha lakini chonde chonde usile wale wa BBQ au wa kukaanga. Baada ya kazi muulize wife atakupa majibu!!!
Chanzo:hood infotainment

Wednesday, 11 September 2013

MAAJABU:SAMAKI WA AJABU MWENYE SURA YA NGURUWE,CHEKI PICHA YAKE

Wakati ukweli wa mambo juu ya dunia ya leo ikoje watafiti wengi wamekuwa wakibainisha kuwa viumbe wengi wa zamani wamekuwa wakipotea kutokana na mabadiliko ya tabia nchi .Lakini kumekuwa na viumbe wengi wa ajabu ambao huoneka hususani miaka ya hivi karibuni kama huyu samaki 

MAAJABU...!!! HAWA NDIO WALIOVUNJA REKODI YA DUNIA KWA KUWA WATU WAFUPI KULIKO WOTE DUNIANI...

GUINNESS WORLD RECORDS mwaka 2013 katika chunguzi  ambazo wamezifanya katika mwaka huu wamegundua kwamba hawa Ndio watu walio wafupi zaidi duniani kutokana na vipimo na taarifa mbalimbali zilizo za huhakika kutoka kwa wanahabari wao na wanasayansi mbalimbali
 Bw Chandra Bahadur Dangi na Bi Jyoti Amge 





TAZAMA VIDEO HII

Tuesday, 10 September 2013

PICHA YA MJENGO MKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI. UNAPATIKANA CHINA

clip_image003
Erranean village.world's largest building in china
largest building in the world 2013world's largest building 2013
Chinese officials have declared the building the world’s largest freestanding building and it took about 3 years for the construction to complete.
An artificial sun is built inside the giant complex to provide light and heat 24 hours a day for shoppers exploring the 400,000 sq. metres of boutiques and stores.
Iraqi-British architect Zaha Hadid designed the building.