Wednesday, 18 September 2013

JONJO SHELVEY AWEKA REKODI - AHUSIKA NA UTENGENZWAJI WA MABAO YOTE MANNE YA KATI SARE YA 2-2 KATI YA LIVERPOOL VS SWANSEA - USHAHIDI WA PICHA

9776417375_4435ed657a_o_originalMchezaji Jonjo Shelvey usiku wa Jumatatu ulikuwa wa aina yake kwa upande wake baada ya kuhusika na ufungwaji wa mabao yote manne katika mchezo wa sare ya 2-2 kati ya Swansea dhidi ya timu yake ya zamani ya Liverpool. Hapo juu tunaona Jonjo akifunga bao zuri katika dakika ya 3 tu ya mchezo, lakini ya muda ........................................................... akachomesha bao la kusawazisha la Liverpool kama unavyoona hapo chini

Ib0doipg8i9zvq_originalMabao yote hayo mawili hapo juu yalifungwa katika kipindi cha dakika 5 za mwanzo, lakini baada ya muda kidogo akampa assist Victor Moses wa Liverpool aliyefunga bao la kuiweka timu yake mbele dhidi ya Swansea. 
I1glfbyp21jc6_originalHakusihia hapo Jonjo akaswazisha makosa yake kwa kumtengenezea Michu goli la kusawazisha la Liverpoool. 
-Shaffih dauda

No comments:

Post a Comment