Showing posts with label DULLY SYKES. Show all posts
Showing posts with label DULLY SYKES. Show all posts

Sunday, 15 September 2013

AIBU DULLY SYKES AKIMBIA NA HELA YA DEREVA TAX...


Msanii maaru Dully Sykes jana baada  ya kutoka kwenye fiesta mjini dodoma alionekana kuwa kazidiwa sana na kilevi na pia baada ya kumaliza show yeye pamoja na wasanii wenzake walienda club 84 na kugida mitungu na kulewa kupita kiasi.
 
Sakata lilitokea pale baada ya kumaliza kula bata lao la kutosha na kutaka kwenda kujipumzisha walipofiki ,dull pamoja wenzake walitoka nje na kuchukua tax na kuwapeleka walipofikia na baada ya kufika dull alionekana kubadilika na kukataa kumlipa dereva tax ujira wake na hapo ndipo walipozenguana na kutaka kuzichapa. baada ya kuona dereva tax kamtunishia misuli yeye mwenyewe ikabidi awe mpole na kulipa pesa tena kwa shingo upande na tena ilikuwa haijakamilika , Ripota wetu ambaye ni Dereva Tax ambaye hakupenda kutajwa jina lake alizidi kututonya kuwa msanii huyo alilipa buku mbili na kuchoropoka na kukimbilia lodge bila kumalizi pesa iliyobaki huku akiwa na Demu pembeni:

Friday, 6 September 2013

DULLY SYKES "NAMFANANISHA DIAMOND NA MAREHEMU KANUMBA KWA UWEZO WA KUTHUBUTU"

Prince Dully Sykes amesema anamfananisha hitmaker wa ‘Number 1’ Diamond Platnumz na marehemu Steven Kanumba kwa jinsi alivyo na moyo wa kuthubutu katika mambo yake.

Dully Sykes alikuwa akiongea na Bongo5 kwenye uzinduzi wa video ya video mpya ya Diamond uliofanyika wiki iliyopita kwenye ukumbi wa Serena Hotel jijini Dar es Salaam.

“Diamond ni namba moja kwasababu yupo tayari kujitoka kwa kila kitu,” alisema Dully. “Naweza kumfananisha Diamond na mtu kama Kanumba. Kanumba alikuwa ana uwezo wa hata kuchukua nauli yake ya kwenda sehemu kama Ghana kwenye tamasha la movie lakini ilimradi kujitengenezea status yake. Kwahiyo Diamond ni mtu ambaye tayari ameshajitolea kwaajili ya kuutetea muziki wetu.”

Pia Dully amesema mwishoni mwa mwaka huu anatarajia kuiongezea vifaa vipya studio yake ‘4.12’ ili kujiimarisha zaidi kwenye utayarishaji wa muziki ambao anasema kwa sasa anaufurahia zaidi kuliko hata kuimba.

Wednesday, 4 September 2013

WEMA SEPETU, KAJALA, TID, SHETTA NA DULLY SYKES WANASWA VIWANJA WAKIBANJUKA



IMG_4546
 Wema Sepetu
 
IMG_4346
Watuache kwa raha zetu mziki umekolea…..Mdau Emma na The Big Boss wakisakata rhumba.
IMG_4347
Rappa Joniko Flower akiwakimbiza mashabiki wa Skylight Band na Style ya Mukanda wa chuma chuma…..!
IMG_4352
Shabiki wa Skylight Band akionyesha manjonjo yake jukwaani…..Palinoga ni balaaa.
IMG_4354
Hapo sasa twende kazi…marafiki wakimshangilia rafiki yao jukwaani.
IMG_4404
Diva Aneth Kushaba AK47 akikonga nyoyo za mashabiki wa Skylight Band.
IMG_4374
Binti mwenye kipaji cha aina yake Mary Lucos akitoa burudani huku akisindikizwa na mwimbaji mwenzake Digna.
IMG_4421
Superstar Dully Sykes a.k.a Mr. Misifa na mrembo wa kizungu pamoja na JEMBE wakishow love mbele ya camera yetu.
IMG_4412
Maimatha wa Jesse akishow love na marafiki alipotinga kwenye kiota cha Thai Village kuanza week end yake na burudani za Skylight Band.
IMG_4425
William Malecela a.k.a LEMUTUZ akishow love na mdau Alois Ngonyani na marafiki ndani ya kiota cha Thai Village.
IMG_4370
Aneth Kushaba AK47 na Mary Lucos wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band.
IMG_4427
Burudani ikiendele Sam Mapenzi  a.k.a sukari ya warembo akifanya yake jukwaani.
IMG_4433
Sam Mapenzi akicheza sambamba na mashabiki wa Skylight Band….. palikuwa hapatoshi.
IMG_4447
Utamu ulipokolea wengine walipiga nduru, wengine walishika vichwa…….Hapana chezea Skylight Band.
IMG_4452
Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa Bongo alishika atamu kuwarusha mashabiki wa Skylight Band.
IMG_4456
Wema Sepetu akiwasili kiota cha Thai Village na kuwasabahi vijana wa Skylight Band kuonyesha kuwakubali kwa burudani yao.
IMG_4460
Furaha na tabasamu bashasha vilitawala usoni kwa mwanadada Wema Sepetu.
IMG_4466
Wema Sepetu hakuja peke yake aliambatana na swahiba wake mkubwa Kajala.
IMG_4471
IMG_4484
Kila mtu alijinafasi kwa style ya aina yake…..wenye kupinda mgongo haya kwa raha zao.
IMG_4494
Wema Sepetu akifurahi jambo na mashabiki wake ndani ya kiota cha Thai Village kilichopo Masaki jijini Dar.
IMG_4498
Mduara ulihusika kama kawaida.
IMG_4504
IMG_4507
Wema Sepetu na Kajala wakibadilishana mawazo huku burudani ya Skylight Band ikiendelea.
IMG_4546
Pichani juu na chini ni Wema Sepetu akimpagawisha Sam Mapenzi wa Skylight Band 
IMG_4552
Sam Mapenzi akimwimbia Wema Sepetu ndani kiota cha Thai Village kilichopo Masaki jijini Dar Juma lililopita.
IMG_4555
Petit Man naye hakukubali kulishindwa akamuonyesha Wema ufundi wake kwa kusakata Sebene la Skylight Band.
IMG_4473
Ukumbi ulilipuka ni nomaaa kama inavyoonekana pichani.
IMG_4477
Wadau wa Skylight Band bila kukosa wakiwakilisha Kijitonyama.
IMG_4478
Wadau wa ukweli wenye mapenzi na Skylight Band camera yetu uliwamulika.
IMG_4482
Wasanii wa Bongo Flava kutoka kushoto ni Shetta, TID pamoja na Dully Sykes nao walikuja kula bata na Band ya vijana, wakubwa kwa watoto yenywe Swaggaz za ukweeeh Skylight Band.
IMG_4539
Wema Sepetu na William Malecela a.k.a LEMUTUZ wakishow love.
IMG_4535
Benny Kinyaiya, William Malecela na Wema Sepetu.
IMG_4542
Divas wa Skylight Band kutoka kushoto ni Aneth Kushaba AK47, Digna pamoja na Mary Lucos wakishow love.
IMG_4454
Mdau Cathbert Kajuna wa Kajuna Blog naye alikuwepo.
IMG_4519